Your cart is currently empty!
Mahali hapa ni wimbo ambao wakati ninauandika nilikuwa nikitafakari saana kuhusu safari yangu kutoka Arusha kuja Shinyanga ni wimbo ambao pia ulinifanya kutafakari kuhusu Huduma hii ya Uimbaji ambapo nilipopata wito kufanya bado niliona ni kama kitu ambacho nikifanya kingeweza kupunguza heshima yangu miongoni mwa watu walionijua na kufahamu biashara zangu Lyrics Mahali…
Reviews
There are no reviews yet.