Your cart is currently empty!
\ Naskia Wimbo Mzuri Unaimba, Kwa Vinanda Magita na Marimba, Moyoni kwangu Bwana Kunafurika, Sifa zenye utukufu na baraka, Hakika Utukufu wako umetukuka. Ni wewe Uliyenichagua na kuniweka, Niwe kwenye kundi Lako. Chini ya Mbawa zako, Niimbe sifa zako Na utukufu wako, Tunashuka chini Elishadai Ili Tuikue Juu Adonai Uhimidiwe Elihumu Mungu wa Isaka…
Reviews
There are no reviews yet.