Your cart is currently empty!
Wimbo huu umetamalaki ni wimbo wa tenzi ya kusifu ambao unamrudishia Mungu utukufu katika sifa ,,, Lyrics Verse 1 Hee umetamalaki Yeshua, Unayeishi Yesu Uliotuokoa x 2 Uliyekufa msalabani Tutoke Dhambini, Ukayatoa maisha yako msalabani, Ukadhalilishwa kwa viboko Migomgoni, Misumari ,ikononi na Miguuni, Ilitiririka damu ya mwanakondoo Mtini Hata pazia likapasuka huko hekaluni, Kuhitimisha…
Reviews
There are no reviews yet.